TRA - Jihudumie (TIN, Returns na nyiginezo)
PremiumTRA
Kuhusu Huduma Hii
Huduma hii inakuwezesha kuomba na kujisajili kwa namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN) kwa kutoa taarifa zinazohitajika. Pia, inaruhusu kufaili marejesho ya kodi, kutumia mfumo wa ufuatiliaji wa mizigo ya kielektroniki (ECTS), na kupata huduma ya marejesho ya kodi. Huduma hii inajumuisha pia malipo ya kodi, leseni ya udereva, usajili wa magari, huduma za usimamizi wa VFD na EFD, huduma ya msamaha, marejesho ya kodi kwa wasio wakazi, na kuripoti ulaghai wa kodi.
Ufikiaji wa Huduma
Muongozo
Huduma Zinazohusiana
TRA - Kikokotoo cha magari
Huduma ya kuthaminisha magari yaliyotumika kwa madhumuni ya kodi na forodha Tanzania.
PPRA - Mfumo wa Zabuni wa Kielektroniki (NeST)
Mfumo wa Zabuni wa Kielektroniki Tanzania
PPAA - Uamuzi juu ya maombi ya kukazia hukumu
Uamuzi juu ya maombi ya kukazia hukumu ni huduma ya Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma. Huduma hii
PPAA - Uamuzi juu ya maombi ya kufuta uamuzi uliotolewa kwa kusikiliza shauri upande mmoja (Ex parte decision)
Uamuzi juu ya maombi ya kufuta uamuzi uliotolewa kwa kusikiliza shauri upande mmoja (Ex parte decisi
PPAA - Uamuzi juu ya maombi ya kuongezewa muda wa kuwasilisha rufaa nje ya muda
Uamuzi juu ya maombi ya kuongezewa muda wa kuwasilisha rufaa nje ya muda ni huduma ya Mamlaka ya Ruf
PPAA - Uamuzi juu ya malalamiko baada ya Mkataba wa ununuzi kuanza kutekelezwa
Uamuzi juu ya malalamiko baada ya Mkataba wa ununuzi kuanza kutekelezwa ni huduma ya Mamlaka ya Rufa