Huduma Mtandao: huduma zote za serikali ya Tanzania mtandaoni mahali pamoja
Huduma Zinazotumika Zaidi
Zungumza na Wataalamu
Angalia Zote →Huduma Zote
TFRA - Leseni ya mfanyabiashara wa mbolea
TVLA - Usajili wa viuatilifu vya wanyama
MLF - Kibali cha kuingiza wanyama pori ndani ya nchi
MLF - Kibali cha kufanya tafiti za mifugo na uvuvi
MLF - Ugani wa Mifugo na Uvuvi
MLF - Kibali cha kusafirisha mazao ya mifugo na mazao yatokanayo na mifugo ndani ya nchi
MLF - Kibali cha kusafirisha wanyama na ndege pori ndani ya nchi
MLF - Kibali cha kusafirisha mifugo ndani ya nchi
MLF - Kibali cha afya cha Kusafirisha sampuli na kielelezo cha baiolojia nje ya nchi
MLF - Kibali cha Afya cha kuingiza Mbegu na viinitete vya wanyama
MLF - Uchunguzi wa sampuli wa kimaabara kwa ajili ya uwepo wa vimelea vya magonjwa, vichafuzi, madini tembo, virutubisho, sumu za kibaiolojia na mabaki ya dawa na viuwatilifu katika sampuli
MLF - Kibali cha kusafirisha mapambo yatonayo na wanyama nje ya nchi
MLF - Kibali cha kusafirisha nyara zitokanazo na wanyama kwenda nje ya nchi
MLF - Kibali cha afya cha kusafirisha mazao yatokanayo na nyuki nje ya nchi
MLF - Kibali cha afya cha kuingiza virutubisho vya vyakula vya wanyama ndani ya nchi
MLF - Kibali cha afya cha kuingiza vyakula vya mifugo nchini
MLF - Kibali cha afya cha kusafirisha virutubisho vya vyakula vya mifugo nje ya nchi
MLF - Kibali cha afya cha kusafirisha vyakula vya mifugo nje ya nchi
MLF - Kibali cha kusafirisha mazao yatokanayo na mifugo nje ya nchi
MLF - Kibali cha afya cha kuingiza ngozi za wanyama
MLF - Kibali cha afya cha kuingiza maziwa na bidhaa zitokanazo na maziwa ndani ya nchi
MLF - Kibali cha kuingiza bidhaa zitokanazo na nyama
MLF - Kibali cha afya cha kusafirisha maziwa na bidhaa zitokanazo na maziwa nje ya nchi
MLF - Kibali cha kusafirisha bidhaa zitokanazo na nyama (matumbo ya wanyama, soseji, nyama ya bekoni,mafuta ya nguruwe) nje ya nchi
MLF - Kibali cha kusafirisha nyama pori nje ya nchi
MLF - Kibali cha kusafirisha nyama ya ng'ombe, nguruwe, kondoo, mbuzi na nyama ya kuku nje ya nchi
MLF - Kibali cha kusafirisha ndege pori nje ya nchi
MLF - Kibali cha afya cha kusafirisha wanyama wa kufanyia majaribio maabara nje ya nchi
MLF - Kibali cha afya cha kuingiza wanyama wafugwao ndani ya nchi
MLF - Kibali cha afya cha kusafirisha wanyama wafugwao nje ya nchi
TDB - Usajili wa Wazalishaji wa maziwa.
MLF - Kibali cha kusafirisha wanyama pori nje ya nchi
MLF - Kibali cha afya cha kusafirisha ndege wakubwa nje ya nchi
MLF - Kibali cha kusafirisha wanyama rafiki (mbwa, paka na farasi) nje ya nchi
MLF - Kibali cha afya cha kusafirisha vifaranga wa ndege wafugwao nje ya nchi
MLF - Kibali cha kuingiza wanyama rafiki (mbwa, paka , kasuku farasi)
MLF - Kibali cha afya cha kuingiza ndege na vifaranga wafugwao ndani ya nchi
MLF - Kibali cha afya cha kuingiza wanyama wa kufanyia majaribio maabara ndani ya nchi
MLF - Kibali cha afya cha kusafirisha ngozi za wanayama nje ya nchi
MLF - Kibali cha kusafirisha rasilimali za vyakula vya mifugo nchini
MLF - Kibali cha kutoa rasilimali za vyakula vya mifugo nje ya nchi
MLF - Kibali cha kuingiza rasilimali za vyakula vya mifugo ndani ya nchi
MLF - Usajili wa mtoaji na muingizaji wa chakula cha mifugo
MLF - Usajili wa eneo la kuhifadhia Rasilimali za vyakula vya mifugo
MLF - Usajili wa eneo la kuuzia Rasilimali za vyakula vya mifugo
MLF - Usajili wa eneo la kuzalisha rasilimali za vyakula vya mifugo
MLF - Leseni maalum ya kufanya shughuli za uvuvi
MLF - Leseni ya kusafirisha mazao ya uvuvi nje ya nchi
MLF - Kibali cha kuingiza zana za uvuvi
MLF - Kibali cha kuingiza mazao ya uvuvi nchini
MLF - Kibali cha kusafirisha mazao ya uvuvi ndani ya nchi
MLF - Kibali cha kusafirisha mazao ya uvuvi nje ya nchi
MLF - Leseni ya uvuvi wa burudani
MLF - Leseni ya uvuvi wa kambamiti
MLF - Leseni ya chombo cha uvuvi kuanzia mita 11
TMB - Uhuishaji wa usajili wa chumba cha kuhifadhi nyama na mazao yake
TMB - Uhuishaji wa usajili wa udau wa uuzaji wa vifaa vya kuchakata nyama
TMB - Uhuishaji wa usajili wa udau wa nyama choma festival
MLF - Leseni ya kuingiza samaki waliogandishwa na mazao ya uvuvi nchini