Premium
Fungua huduma zote za Huduma Mtandao kwa TZS 3,000 kwa mwezi, bila matangazo.
Unachopata
Premium hufungua huduma zote za premium, huondoa matangazo yote, na hukupa nafasi kamili ya zana: kutengeneza CV, barua za kazi, ankara na kuhifadhi stakabadhi.
Bei
TZS 3,000 kwa mwezi. Hulipwa kwa mitandao ya simu, na unaweza kusimamisha wakati wowote.
Jinsi ya kulipa
Fungua huduma yoyote ya premium kisha chagua kuifungua, au jiunge kupitia wasifu wako. Utapokea ujumbe kwenye simu yako kuthibitisha malipo.
Malipo hayakukamilika?
Kama pesa imekatwa lakini Premium haijaanza, tuma barua pepe [email protected] na namba ya muamala tutarekebisha.