Maelezo ya Huduma
Ukurasa huu unapatikana bure kwa Kiingereza. Kiswahili ni sehemu ya Premium.
English
PPAA

PPAA - Uamuzi juu ya maombi ya kukazia hukumu

Premium

PPAA

Kuhusu Huduma Hii

Uamuzi juu ya maombi ya kukazia hukumu ni huduma ya Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma. Huduma hii inalenga kutoa uamuzi juu ya maombi ya kukazia hukumu yaliyowasilishwa na Mzabuni/Taasisi nunuzi kutokana na kutokutekelezwa kwa uamuzi uliotolewa na Mamlaka ya Rufani. Mzabuni/Taasisi Nunuzi atapaswa kuwasilisha maombi yake baada ya siku kumi na nne (14) kutoka tarehe ya uamuzi. Gharama: TZS 500,000. Muda: takriban siku 40. Mahitaji makuu: PPAA Fomu Na.11.

Ufikiaji wa Huduma

Aina ya Huduma
Premium
Lipia Kufungua

Huduma Zinazohusiana