WVB - Taarifa za mwenendo wa bei na fursa za masoko
PremiumWVB
Kuhusu Huduma Hii
Taarifa za mwenendo wa bei na fursa za masoko ni huduma ya Wizara ya Viwanda na Biashara. Huduma hii hutolewa kwa wadau mbalimbali wakiwemo wafanyabiashara, Taasisi za utafiti, Vyombo vya habari na pia inahusisha kutoa taarifa za mwenendo wa bei za masoko nchini Gharama: Bure. Mahitaji makuu: Barua ya maombi.
Ufikiaji wa Huduma
Huduma Zinazohusiana
PPRA - Mfumo wa Zabuni wa Kielektroniki (NeST)
PPRA NeST, mfumo wa zabuni wa kielektroniki Tanzania. Tafuta na uombe zabuni za serikali, sajili kam
TRA - Jihudumie (TIN, Returns na nyiginezo)
Huduma hii inakuwezesha kuomba na kujisajili kwa namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN) kwa kutoa
TRA - Kikokotoo cha magari
Huduma ya kuthaminisha magari yaliyotumika kwa madhumuni ya kodi na forodha Tanzania.
PPAA - Uamuzi juu ya maombi ya kukazia hukumu
Uamuzi juu ya maombi ya kukazia hukumu ni huduma ya Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma. Huduma hii
PPAA - Uamuzi juu ya maombi ya kufuta uamuzi uliotolewa kwa kusikiliza shauri upande mmoja (Ex parte decision)
Uamuzi juu ya maombi ya kufuta uamuzi uliotolewa kwa kusikiliza shauri upande mmoja (Ex parte decisi
PPAA - Uamuzi juu ya maombi ya kuongezewa muda wa kuwasilisha rufaa nje ya muda
Uamuzi juu ya maombi ya kuongezewa muda wa kuwasilisha rufaa nje ya muda ni huduma ya Mamlaka ya Ruf