WCF - Fidia ya ulemavu wa kudumu usio kamili
PremiumWCF
Kuhusu Huduma Hii
Fidia ya ulemavu wa kudumu usio kamili ni huduma ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi. Huduma hii ya fidia hutolewa kwa njia ya malipo ya mkupuo kwa mfanyakazi aliyepata ulemavu wa kudumu wa asilimia 1 hadi 30 unaotokana na madhila ya kikazi, kwa lengo la kumpatia hifadhi ya kipato na kuimarisha ustawi wake wa kiuchumi. Gharama: Bure. Muda: takriban siku 30. Mahitaji makuu: Taarifa za kibenki, Kibali cha kazi kwa raia wa kigeni, Taarifa ya Polisi ya ajali za barabarani, Taarifa ya Polisi ya tukio.
Ufikiaji wa Huduma
Huduma Zinazohusiana
WCF - Marejeo ya fidia iliyolipwa
Marejeo ya fidia iliyolipwa ni huduma ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi. Huduma hii hutolewa kwa mte
WCF - Marejeo ya fidia iliyokataliwa
Marejeo ya fidia iliyokataliwa ni huduma ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi. Huduma hii hutolewa kwa
WCF - Fidia ya huduma za utengamao wa kitabibu
Fidia ya huduma za utengamao wa kitabibu ni huduma ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi. Huduma hii ya
WCF - Fidia ya msaada kwa anaye mhudumia mgonjwa
Fidia ya msaada kwa anaye mhudumia mgonjwa ni huduma ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi. Huduma hii h
WCF - Fidia ya malipo ya ulemavu wa kudumu ulio kamili
Fidia ya malipo ya ulemavu wa kudumu ulio kamili ni huduma ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi. Huduma
WCF - Fidia ya malipo kwa ajili ya wategemezi wa Mwanachama aliyefariki
Fidia ya malipo kwa ajili ya wategemezi wa Mwanachama aliyefariki ni huduma ya Mfuko Wa Fidia Kwa Wa