Maelezo ya Huduma
Ukurasa huu unapatikana bure kwa Kiingereza. Kiswahili ni sehemu ya Premium.
English
VRB

VRB - Usajili Kamili wa Wataalamu wa Uthamini

Premium

VRB

Kuhusu Huduma Hii

Usajili Kamili wa Wataalamu wa Uthamini ni huduma ya Bodi ya Usajili wa Wathamini. Huduma hii imelenga kumsajili Mthamini ili aweze kufanya kazi za Uthamini katika Taasisi za Umma na Kampuni Binafsi kwa kuzingatia Sheria na Kanuni za Uthamini na kulinda maslahi ya Taaluma ya Uthamini. Gharama: TZS 1,620,000. Muda: takriban siku 5. Mahitaji makuu: Fomu ya Maombi iliyojazwa, Passport size, Risiti ya malipo, Vyeti vya Elimu na Taaluma.

Ufikiaji wa Huduma

Aina ya Huduma
Premium
Lipia Kufungua

Huduma Zinazohusiana