Maelezo ya Huduma
Ukurasa huu unapatikana bure kwa Kiingereza. Kiswahili ni sehemu ya Premium.
English
TDB

TDB - Kibali cha kupeleka maziwa nje ya nchi

Premium

TDB

Kuhusu Huduma Hii

Kibali cha kupeleka maziwa nje ya nchi ni huduma ya Bodi ya Maziwa Tanzania. Kibali hiki hutolewa kwa wafanyabiashara wanaotaka kupeleka bidhaa za maziwa nje ya nchi kwa lengo la kusimamia ubora wa bidhaa zinazouzwa nje ya nchi na kukidhi mikataba ya kibiashara ya Kimataifa. Gharama: inategemea. Mahitaji makuu: Cheti cha Ubora cha TBS (Licence), Cheti cha afya ya mnyama (kibali), Cheti cha usajili wa kampuni kutoka BRELA, cheti cha usajili wa bodi ya maziwa Tanzania.

Ufikiaji wa Huduma

Aina ya Huduma
Premium
Lipia Kufungua

Huduma Zinazohusiana