Maelezo ya Huduma
Ukurasa huu unapatikana bure kwa Kiingereza. Kiswahili ni sehemu ya Premium.
English
TCB

TCB - Leseni ya Kusafirisha Kahawa iliyokaangwa na Kusagwa Nje ya Nchi (roast and ground coffee export license)

Premium

TCB

Kuhusu Huduma Hii

Leseni ya Kusafirisha Kahawa iliyokaangwa na Kusagwa Nje ya Nchi (roast and ground coffee export license) ni huduma ya Bodi ya Kahawa Tanzania. Leseni hii hutolewa kwa kampuni ili kuiwezesha kununua na kusafirisha kahawa iliyokaangwa na kusagwa nje ya nchi. Leseni hii inatolewa Makao Makuu ya Bodi ya Kahawa - Moshi Gharama: Bure. Muda: takriban siku 2. Mahitaji makuu: Cheti cha kuthibitisha kulipa kodi (Tax Clearance Certificate), Nakala ya Cheti cha Hati ya kuandikishwa, Mkataba wa mauziano,, Katiba ya kampuni na kanuni.

Ufikiaji wa Huduma

Aina ya Huduma
Premium
Lipia Kufungua

Huduma Zinazohusiana