RITA - Huduma za ndoa na talaka
PremiumRITA
Kuhusu Huduma Hii
Huduma hii inakuwezesha kufanya maombi ya leseni ya kufungisha ndoa, kuomba shahada ya kufungisha ndoa, na kupata kibali cha kufunga ndoa ndani ya siku 7. Pia, inakusaidia kupata cheti cha kutokuwa na kipingamizi cha ndoa, kusajili ndoa inayodumu iliyokuwa haijasajiliwa, na kupata kibali cha kufunga ndoa mahali maalum. Huduma hii pia inaruhusu kusajili ndoa, kusajili ndoa iliyofungwa nje ya nchi, kusajili talaka, na kusajili talaka iliyotolewa nje ya nchi.
Ufikiaji wa Huduma
Muongozo
Huduma Zinazohusiana
RITA - Huduma za vizazi na vifo
Huduma hii inakuwezesha kupata cheti cha kuzaliwa, kubadilisha cheti cha kuzaliwa cha zamani kuwa ki
RITA - Kubadili cheti cha zamani (Typewritter) kuwa cha kidigitali
Kubadili cheti cha zamani (Typewritter) kuwa cha kidigitali ni huduma ya Wakala Wa Usajili Ufilisi N
RITA - Uthibitisho wa cheti cha kifo
Uthibitisho wa cheti cha kifo ni huduma ya Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (rita). Huduma hii
RITA - Uthibitisho cheti cha kuzaliwa
Uthibitisho cheti cha kuzaliwa ni huduma ya Wakala Wa Usajili Ufilisi Na Udhamini (Rita). Gharama: T
RITA - Cheti cha Kifo
Cheti cha Kifo ni huduma ya Wakala Wa Usajili Ufilisi Na Udhamini (Rita). Gharama: TZS 20,000. Muda:
RITA - Cheti cha Kuzaliwa
Cheti cha Kuzaliwa ni huduma ya Wakala Wa Usajili Ufilisi Na Udhamini (Rita). Gharama: TZS 20,000. M