Maelezo ya Huduma
Ukurasa huu unapatikana bure kwa Kiingereza. Kiswahili ni sehemu ya Premium.
English
GBT

GBT - Leseni ya Mfanyakazi mwandamizi wa michezo ya kubahatisha

Premium

GBT

Kuhusu Huduma Hii

Leseni ya Mfanyakazi mwandamizi wa michezo ya kubahatisha ni huduma ya Bodi ya Michezo ya Kubahatisha. Huduma hii inahusisha utoaji wa leseni kwa wafanyakazi wanaoshikilia nafasi za usimamizi katika kampuni ya michezo ya kubahatisha. Hivyo basi, inawahusu wanahisa, wadhamini, ushirika, mashirika ya kampuni, wakurugenzi, wakuu wa idara, maafisa waandamizi wa kampuni na mtu yeyote au nafasi yoyote ya kazi ambayo kwa taarifa ya maandishi kutoka kwa Bodi inachukuliwa kuwa ni nafasi au mfanyakazi mkuu Gharama: inategemea. Muda: takriban siku 20. Mahitaji makuu: Barua ya mdhamini, Vyeti vya Elimu na Taaluma, Kitambulisho cha NIDA, Kitambulisho cha Mpiga Kura, Leseni ya Udereva,Pasipoti ya kusafiria (Kimoja kati ya hivi), Wasifu wa mwombaji.

Ufikiaji wa Huduma

Aina ya Huduma
Premium
Lipia Kufungua

Huduma Zinazohusiana