Maelezo ya Huduma
Ukurasa huu unapatikana bure kwa Kiingereza. Kiswahili ni sehemu ya Premium.
English
ARDHI

MLHHSD - Idhini ya Uthamini wa Mali wa Kawaida

Premium

ARDHI

Kuhusu Huduma Hii

Idhini ya Uthamini wa Mali wa Kawaida ni huduma ya Wizara ya Ardhi. Huduma hii inalenga kutoa uthibitisho kuwa taarifa ya Uthamini wa Kawaida kama Reheni, Dhamana,Mauzo na Manunuzi, Hesabu za kihasibu, Utambuzi wa Mali n.k imekidhi vigezo vya Kitaalam na Kisheria ili kudhibiti Maslahi ya umma Gharama: inategemea. Muda: takriban siku 7. Mahitaji makuu: Hati miliki au uthibitisho mwingine wa umiliki, Barua ya Maombi, Ripoti ya uthamini ya eneo hilo.

Ufikiaji wa Huduma

Aina ya Huduma
Premium
Lipia Kufungua

Huduma Zinazohusiana