AQRB - USAJILI WA MIRADI YA UJENZI
PremiumAQRB
Kuhusu Huduma Hii
USAJILI WA MIRADI YA UJENZI ni huduma ya Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi. Huduma hii ni kwa ajili ya kusajili miradi ya ujenzi (biashara,makazi,biashara na makazi, viwanda, afya na kijamii) Gharama: inategemea. Mahitaji makuu: Mkataba wa Ushauri wa Mradi,, Mchanganuo wa gharama za ujenzi, Kibali cha ujenzi, Michoro ya Ubunifu.
Ufikiaji wa Huduma
Huduma Zinazohusiana
AQRB - Leseni ya kutoa huduma ya ushauri elekezi kwa Kampuni
Leseni ya kutoa huduma ya ushauri elekezi kwa Kampuni ni huduma ya Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majen
AQRB - Leseni ya kutoa huduma ya ushauri elekezi kwa wataalamu
Leseni ya kutoa huduma ya ushauri elekezi kwa wataalamu ni huduma ya Bodi ya Usajili wa Wabunifu Maj
LATRA - VTS
LATRA VTS, mfumo wa kufuatilia mwenendo wa magari ya abiria. Sajili gari, fuatilia utii wa kifaa cha
LATRA - RRIMS
LATRA RRIMS, mfumo wa kutahini na kutoa leseni za udereva. Panga na ufuatilie mtihani wa udereva, an
TRC - Kata Tiketi ya Treni ya Kawaida (MGR)
Nunua tiketi za treni za kawaida mtandaoni kupitia Shirika la Reli Tanzania.
TRC - Kata Tiketi ya Treni ya Umeme (SGR)
Nunua tiketi za treni ya kisasa (SGR) mtandaoni. Pata ratiba na bei za safari zote.