Snaville Exchange
Nunua na uza USDT papo hapo kwa mitandao ya simu nchini Tanzania.
Snaville Exchange ni nini
Snaville Exchange ni jukwaa la Kitanzania la kununua na kuuza USDT, sarafu dijitali yenye thamani inayofuata dola ya Marekani.
Inafanyaje kazi
Unaweka na kutoa pesa kwa mitandao ya simu unayotumia tayari, ikiwemo M-Pesa, Mixx by Yas na Airtel Money.
Kwa nini watu wanaitumia
Ni njia ya kuhifadhi thamani kwa dola na kutuma au kupokea pesa bila akaunti ya benki.